Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Msikiti wa Al-Aqsa: Kisimamo na Wito "Enyi Majeshi ya Waislamu Je, Hakuna Miongoni Mwenu Muongofu?!"

Kisimamo kilichoandaliwa na Hizb ut Tahrir katika Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa baada ya kutekeleza swala na khutba ya Idd al-Fitr Al-Mubarak 1442 H kuomba nusra kwa majeshi ya Umma kwa anwani

"Enyi majeshi ya Waislamu hakuna miongoni mwenu muongofu?!"

Kalima ilitolewa na Ustadh Raafat Najib (Abu Muhammad)

Bait al-Maqdis – Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Alhamisi, 01 Shawwal 1442 H sawia na 13 Mei 2021 M

Kwa mengi zaidi Bonyeza Hapa

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

                                      #OrdularAksaya 
 #Aqsa_calls_armies                                       #AqsaCallsArmies
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.