Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Wilayah Sudan: Kongamano Jumuishi la Viongozi wa Makabila, Uongozi Mbali Mbali na Wanachuoni wa Sudan Mashariki


Mbali na fitna ya mizozo ya kikabila mashariki mwa Sudan, na kwa imani yetu kwamba Uislamu mtukufu, na kwa historia yote ya kibinadamu, kuwa ndio pekee utakaounganisha neno, na kuziunganisha safu na kuwayeyusha watu ndani ya chungu kimoja, bali hakika nidhamu za Uislamu ambazo Dola ya Khilafah Rashida kwa njia ya Utume itazitabikisha, ndizo njia pekee kufikia Maisha ya Kiislamu, salama na ya utulivu, ambamo matukufu yatahifadhiwa ndani yake, na nyoyo kuungana ndani yake, ikisadikisha maneno ya Mwenyezi Mungu (swt):

﴿وَأَلَّفَ بَيْنَ قُلُوبِهِمْ لَوْ أَنْفَقْتَ مَا فِي الْأَرْضِ جَمِيعًا مَا أَلَّفْتَ بَيْنَ قُلُوبِهِمْ وَلَكِنَّ اللَّهَ أَلَّفَ بَيْنَهُمْ إِنَّهُ عَزِيزٌ حَكِيمٌ﴾

"Na akaziunga nyoyo zao. Na lau wewe ungeli toa vyote viliomo duniani usingeli weza kuziunga nyoyo zao, lakini Mwenyezi Mungu ndiye aliye waunganisha. Hakika Yeye ndiye Mtukufu Mwenye nguvu na Mwenye hikima." [Al-Anfal: 63]

Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, inawaalika kuhudhuria kongamano jumuishi la viongozi wa Makabila, uongozi mbali mbali na wanachuoni wa Sudan Mashariki, chini ya kauli mbiu:

﴿وَاعْتَصِمُواْ بِحَبْلِ اللَّهِ جَمِيعًا وَلاَ تَفَرَّقُوا﴾

"Na shikamaneni kwa Kamba ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala msifarikiane." [Aali-Imran: 103]

Mahali: Mji wa Gadharif - Ukumbi (Wad Al-Barra) mbele ya jengo la manispaa ya Gadharif.

Siku na Tarehe: Jumamosi 21/11/2020 M

Wakati: Kuanzia saa 9:30 Asubuhi hadi saa 3:30 Alasiri

Kuhudhuria kwenu ni tofali katika jengo la maisha ya Kiislamu

Jumamosi, 06 Rabi' al-Akhir 1442 H sawia na 21 Novemba 2020 M

Ili kusoma taarifa ya ualishi wa kongamano hili iliyotolewa na

Ustadh Ibrahim Uthman (Abu Khalil)

Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan

Bonyeza Hapa

- Video ya Ualishi wa Kongamano -

 [ Video za Kongamano Jumuishi ]

- Ufunguzi wa Kongamano -

- Kalima ya Kuwakaribisha Waliohudhuria -

- Kalima ya Ustadh Muhammad Jameh (Abu Ayman) -

- Kalima ya Ustadh Abdul Rahim Shariff -

- Kalima ya Ustadh Yaqub Ibrahim -

- Kalima ya Ustadh Ibrahim Uthman (Abu Khalil) -

Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan

[Michangio ya Watu Mashuhuri wa Sudan mashariki]

Mapendekezo ya Kongamano

Kalima ya Shariff Abdulrahim Al-Dasisi

Kiongozi wa Eneo la Mashariki na Mnusuru wa Dawah ya Hizb ut-Tahrir

Kalima ya Mwandishi wa Habari Mohamed Mabrouk

Kalima ya Ustadh Hassan Abdul Hamid

Naibu Katibu Mkuu wa Ikhwan al-Muslimin

Kalima ya Sheikh Ahmed Shaker
Kiongozi wa Kabila la Ashraf Sudan Mashariki

Kalima ya Sheikh Tawfiq Daf'ullah Mustafa
Imam wa Msikiti wa Sharif Al-Aqib mjini Gadharif

Dkt Muhammad Al-Tayeb
Mwanachama wa Baraza la Wanachuoni katika Mkoa wa Gadharif

Kalima ya Sheikh Abu Bakr Mohiuddin
Mmoja wa Wanachuoni wa Sudan Mashariki

Sheikh Idris Musa
Imam wa Msikiti wa Al-Shawk katika mji wa Gadharif

Sheikh Omar Mohammed Majzoub Al-Azraq
Imam wa Msikiti Mkuu katika Mji wa Gadharif

Kalima ya Mwandishi wa habari Ali Daoud

Sheikh Daoud
Wakili Mkuu wa Kabila la Al-Bani Amer Sudan Mashariki

Ustadh Bashir Yunus
Mmoja wa Watu Mashuhuri wa Mkoa wa Gadharif

Ustadh Idris Yassin - Suleiman -
Katibu wa Kisiasa wa Chama cha Hizb Mu'tamar al-Shabi

Sheikh Muhammad Al-Fadl
Mwakilishi Mwangalizi wa Makabila Yote ya Dar Bakr

Sheikh Al-Shariff Haroun Al-Shariff Zain Al-Abidin
Mrithi wa Sayyid Sheikh Al-Obaid na Sheikh wa Dhehebu la Sufi
 
Sheikh Muhammad Dink
Mwakilishi wa Wasudan wa Kusini Wanaoishi Sudan Mashariki
 

Meya Muawiya Kiram
Meya wa Kabila la Maria Mjini Gadharif

Ustadh Kafi Kuwat Daway
Mwenyekiti wa Kamati ya Kusuluhisha Migogoro katika Utawala wa Asili kwa Kabila la Nuba

Ustadh Mamoun Kafi
Kiongozi, Kabila la Nuba Sudan Mashariki

Kalima ya Sheikh Muhammad Ishaq Haroun
Imam na Khatibu wa Msikiti wa Al-Huda Mjini Gadharif na Katibu Mkuu wa Kamati ya Mabadiliko na Huduma (Oktoba)

Maoni ya Muhammad Jameh
Msaidizi wa Msemaji Rasmi wa Hizb ut-Tahrir juu ya Kalima za Waliohudhuria

Maoni ya Ustadh Yaqub Ibrahim

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir juu ya Kalima za Waliohudhuria

- Uangaziaji wa Vyombo vya Habari -

Bonyeza Hapa kwa Maelezo Zaidi

Mkusanyiko wa Picha

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumanne, 01 Disemba 2020 16:20
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.