Ijumaa, 19 Ramadan 1445 | 2024/03/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Sweden: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah

Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir amezindua kampeni pana ya kiulimwenguni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja Hijria ya kuvunjwa kwa Khilafah, 28 Rajab al-Muharram 1442 H / 2021 M, na katika ukurasa huu, tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Sweden ndani ya wigo wa kampeni ya kiulimwengu iliyozinduliwa na Hizb.

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

- Video -

- Miaka 100 bila ya Khilafah; Wajib Wetu ni Kuisimamisha Upya! -

Ustadh Sayed Saeb

Jumatano, 05 Rajab 1442 H sawia na 17 Februari 2021 M

- Tulikuwa Wapi na Tumefika Wapi Baada ya Kuanguka Khilafah?! -

Ustadh Sayed Saeb / Sweden

Alhamisi, 06 Rajab 1442 H sawia na 18 Februari 2021 M

- Hotuba Iliyopeperushwa Moja kwa Moja kupitia Mtandao wa Facebook -

Dori ya Waislamu katika Kusimamisha Tena Khilafah!

Ijumaa, 14 Rajab 1442 H sawia na 26 Februari 2021 M

- Khilafah ni Yenye Ikhlasi kwa Wanadamu -

Ustadh Sayed Saeb / Sweden

Jumapili, 23 Rajab 1442 H sawia na 07 Machi 2021 M

- Sehemu ya Amali za Kubandika Mabango ya Khilafah -

Mkusanyiko wa Picha

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة

ReturnTheKhilafah#

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Sweden:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Sweden

Ukurasa wa Face wa Hizb ut Tahrir / Sweden

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu