Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

  Minbar ya Umma: Maandamano Katika Mji wa Idlib "Tunakuitikia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu"

Halaiki ya watu wa mji wa Idlib iliandaa maandamano ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) chini ya anwani "Tunakuitikia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu".

Jumatano, 11 Rabi al-Awwal 1442 H sawia na 28 Oktoba 2020 M

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.