Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Minbar ya Umma: Maandamano katika Kijiji cha Tel Karama ya Kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)

Halaiki ya watu wa kijiji cha Tel Karama viungani mwa Idlib ilijitokeza katika maandamano ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw).

Ijumaa, 20 Rabi al-Awwal 1442 H sawia na 6 Novemba 2020 M

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoAlhamisi, 19 Novemba 2020 07:05
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.