Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Wilayah Syria: Kisimamo cha Mji wa Qah "HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah"

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo baada ya swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Kambi ya Al-Salam katika kijiji cha Qah viungani mwa Idlib chini ya anwani "HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah"

Ijumaa, 12 Rabi' II 1442 H sawia na 27 Novemba 2020 M

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumanne, 01 Disemba 2020 08:40
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.