Jumanne, 07 Shawwal 1445 | 2024/04/16
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir Ulaya: Ubelgiji

Ujumbe kwenda kwa Ubalozi wa Pakistan Kuunga Mkono Kina dada Waliotekwa Nyara

Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Ubelgiji ulikwenda katika Ubalozi wa serikali ya Pakistan uliopo jijini Brussel na kumkabidhi katibu wa pili taarifa mbili kwa vyombo vya habari zilizo tolewa na Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayah ya Pakistan kuhusu kutekwa nyara kwa dada Romana na dada Dkt. Roshan. Ujumbe huo ulielezea kutoridhishwa kwake na vitendo vilivyo fanywa na serikali ya Pakistan dhidi ya waliotekwa nyara na kutaka waachiliwe huru mara moja.

Alhamisi, 12 Dhul Hijjah 1439 H - Agosti 23, 2018 M

#WaachehuruDadaZetu       #MuacheHuruDadaRoman              #MuacheHuruDrRoshan

#WaacheHuruRomanaNaRoshan

 Kwa maelezo ya Kampeni hii ya AFISI KUU YA HABARI Bonyeza Hapa

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoIjumaa, 01 Mei 2020 06:30

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu