Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Uingereza: Amali Zilizo Andaliwa kipindi cha Kampeni ya Kulimwengu, “Ukombozi wa Konstantinopoli Bishara Njema Ikatimia …Inafuatiwa na Bishara Njema Nyingine!”

Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ili zindua kampeni pana ya kiulimwengu kuadhimisha tukio Adhimu la Hvijria la Ukombozi wa Konstantinopoli (mji wa Heraclius) ambao ulizungukwa kuanzia mnamo 26 Rabii’ al-Awwal mpaka 20 Jumada al-Awwal 857 H sawia na 5 Aprili mpaka 29 Mei 1453 M na hivyo bishara njema ya Hadith tukufu ya Nabii (saw) ikatimia:

«لَتُفْتَحَنَّ الْقُسْطَنْطِينِيَّةُ فَلَنِعْمَ الْأَمِيرُ أَمِيرُهَا وَلَنِعْمَ الْجَيْشُ ذَلِكَ الْجَيْشُ»

Mtaifungua Konstantinopoli, Amiri wake ni Amiri bora, na Jeshi lake litakuwa jeshi Bora.”

Hizb ut Tahrir / Uingereza ilitoa mchango wake katika kampeni hii ya kiulimwengu. Sifa zote zinastahiki Mwenyezi Mungu (swt).

Ijumaa 15, Jumada al –Awwal 1441 H – 10 Januari 2020 M

 Kauli ya Yahya Nisbet

Mwakilishi kwa Vyombo vya Habari wa Hizb ut Tahrir Uingereza

Maadhimisho ya Kukombolewa kwa Konstantinopoli

Jumapili 17, Jumada al-Awwal 1441 H -  12 Januari, 2020 M

 Kauli ya Abdul Wahab

Mwanachaama wa Hizb ut Tahrir Uingereza

Maadhimisho ya Kukombolewa kwa Konstantinopoli

Jumatano 20, Jumada al-Awwal 1441 H -  15 Januari, 2020 M

Ili kupata undani zaidi, Tafadhali tembelea mitandao ya Hizb ut Tahrir / Uingereza:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir/ Uingereza
Ukurasa wa Facebook Hizb ut Tahrir/ Uingereza

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir/ Uingereza

Akaunti ya Twitter ya Hizb ut Tahrir/ Uingereza
Akaunti ya Youtube ya Hizb ut Tahrir/ Uingereza

Alama Ishara za Kampeni:

#فتح_القسطنطينية

#القسطنطينية

#İstanbulunFethi
#istanbul

#ConquestofIstanbul
#Constantinople

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumanne, 31 Machi 2020 06:50
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.