Alhamisi, 09 Shawwal 1445 | 2024/04/18
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina pamoja na Wanaume, Wanawake, na Koo Yatangaza Kukataa katakata Sheria ya Ulinzi wa Familia na CEDAW!

Katika mkusanyiko mkubwa wa taadhima uliofanywa na Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa – Palestina mnamo siku ya Jumatano, Machi 23, 2022, watu wa Palestina walitangaza kukataa kata kata Sheria ya Ulinzi wa Familia inayotokana na CEDAW, ambayo Mamlaka ya Palestina inakusudia kuiidhinisha.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Angazo la Kongamano la Kiulimwengu “Je, Ni Katiba Gani Tunayoitaka?” lililofanywa chini ya usimamizi wa Muungano wa Kimataifa wa Mawakili wa Kiislamu Wanaoshiriki katika Kongamano la Katiba Wanaotaka "Katiba ya Kiis

Kwa kuzingatia mabishano yanayoendelea kati ya vyama mbalimbali vya kisiasa nchini, kuhusu umbile la mfumo wa kisiasa nchini Tunisia na katiba inayoudhibiti,

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria Maandamano ya Kijiji cha Kafra "Hakuna Mbadala katika Kuiangusha Serikali na Kusimamisha Utawala wa Uislamu"

Katika kumbukumbu ya miaka kumi na moja ya Mapinduzi Matukufu, Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Kafra viungani mwa Azaz, kwa anwani "Hakuna Mbadala katika Kuiangusha Serikali na Kusimamisha Utawala wa Uislamu!".

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria Maandamano ya Deir Hassan "Hakuna Mbadala katika Kuiangusha Serikali na Kusimamisha Utawala wa Uislamu"

Katika kumbukumbu ya miaka kumi na moja ya Mapinduzi Matukufu, Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Deir Hassan viungani mwa Idlib, kwa anwani "Hakuna Mbadala katika Kuiangusha Serikali na Kusimamisha Utawala wa Uislamu!".

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki Kisimamo cha Kupinga Ziara ya Rais wa Umbile Nyakuzi la Kiyahudi Nchini Uturuki

Kwa kuzingatia hali ya wasiwasi katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kutokana na unyakuzi wa umbile la Kiyahudi wa ardhi hiyo iliyobarikiwa na mashambulizi yake ya kuendelea dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na kuzingirwa kwake na mashambulizi ya miaka 16 ya Ukanda wa Gaza,

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu