Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Minbar ya Ummah: Maandamano katika Kambi za al-Karameh "Tunakuitikia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu"

Halaiki ya watu wa kambi za Al-Karamah ilijitokeza katika maandamano ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) chini ya anwani: "Tunakuitikia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu".

Jumapili, 08 Rabi' ul-Awwal 1442 H, sawia na 25 Oktoba 2020 M

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watotot wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumatano, 04 Novemba 2020 15:57
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.