Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Indonesia: Amali za Umma Mbele ya Ubalozi wa Ufaransa Kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu!

Hizb ut tahrir / Indonesia iliandaa matukio mengi ya umma kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)

Yalimalizika kwa mkutano wa hadhara uliokusanyika mbele ya ubalozi wa Ufaransa jijini Jakarta.

Ijumaa, 13 Rabi ul-Awwal 1442 H sawia na 30 Oktoba 2020 M.

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.