Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Wilayah Syria: Maandamano ya Wanawake ya Atma "Wanawake wa Kaskazini Wawaitikia Wanawake wa Daraa; ni Nani Basi kwa Ajili ya Wanawake Hawa Wote Atakayeijibu Fazaa"

Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria kiliandaa maandamano katika mji wa Atma viungani mwa Idlib kwa anwani "Wanawake wa Kaskazini Wawaitikia Wanawake wa Daraa; ni Nani Basi kwa Ajili ya Wanawake Hawa Wote Atakayeijibu Fazaa!"

Jumatatu, 23 Dhu al-Hijjah 1442 H sawia na 02 Agosti 2021 M

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.