Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria:

Maandamano ya Kijiji cha Sahara "Kufungua Mipaka Kunatangulizwa Kuliko Kufungua Kambi za Uzuizini!"

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Sahara viungani mwa mji wa Halaf kwa anwani: "Kufungua Mipaka Kunatangulizwa Kuliko Kufungua Kambi za Uzuizini!"

Ijumaa, 17 Rajab Tukufu 1443 H - 16 Februari 2022 M

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.