Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Uingereza: Ujumbe kwa Ubalozi wa Pakistan Kutaka wa Kuachiliwa Huru kwa Naveed Butt!

Zaidi ya miaka tisa imepita tangu serikali nchini Pakistan imteke nyara mhandisi Naveed Butt, msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan, na tangu alipotekwa nyara haijulikani alipo!

Katika suala hili, Hizb ut Tahrir nchini Uingereza ilituma ujumbe kwa Ubalozi wa Pakistan jijini London kutaka kuachiliwa huru mara moja kwa mhandisi aliyetekwa nyara kiholela na kihalifu, Naveed Butt, kwa kutaka kwake kurudisha maisha kamili ya Kiislamu na kubeba kwake da'wah kwa kufuata njia ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw).

Jumamosi, 17 Shawwal 1442 H sawia na 29 Mei 2021 M

#FreeNaveedButt 

#TimeForIslam 

#TimeForKhilafah 

#HizbBritain

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandano ya Hizb ut Tahrir / Uingereza:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir Uingereza

Ukurusa Rasmi wa Facebook wa Hizb ut Tahrir Uingereza

Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Hizb ut Tahrir Uingereza

Chaneli Rasmi ya YouTube ya Hizb ut Tahrir Uingereza

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.