Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Minbar ya Ummah: Kisimamo cha Sahara "Daraa Kutoka kuwa ni Kaa la Moto Chini ya Majivu Hadi kuwa ni Moto Wenye Kuwaunguza Matapeli!"

Kisimamo katika kijiji cha Sahara viungani mwa Aleppo kwa anwani "Daraa Kutoka kuwa ni Kaa la Moto Chini ya Majivu Hadi kuwa ni Moto Wenye Kuwaunguza Matapeli!"

Alhamisi, 19 Dhu al-Hijjah 1442 H sawia na 29 Julai 2021 M

- Kalima ya Ndugu Muhammad Waleed Swaleh katika Kisimamo -

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.