Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Minbar ya Ummah: Maandamano kutoka kwa Watu na Waheshimiwa wa Al-Muharrar katika Barabara Kuu ya M4

Maandamano yaliyofanywa na watu pamoja na waheshimiwa wa Al-Muharrar katika barabara kuu ya M4 wakipinga kufunguliwa kwa barabara na kuruhusu kupigwa doria, yaliyopewa jina, "Hatutakubali mbadala isipokua kuanguka kwa Utawala"

Ijumaa, 18 Rajab 1441 H - 13 Machi 2020 M

00:00
00:00
00:00

Maoni ya watu na na waheshimiwa wa Al-Muharrar kuhusu Uamuzi wa Kufungua Barabara Kuu ya M4

(Sehemu ya 1)

00:00
00:00
00:00

Maoni ya watu na na waheshimiwa kuhusu Uamuzi wa Kufungua Barabara Kuu ya M4

(Sehemu ya 2)

00:00
00:00
00:00

Minbar ya Ummah: Ilani ya kutohusika: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watu wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watu wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri ya Uislamu na Waislamu.

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumamosi, 16 Mei 2020 17:50
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.