Logo
Chapisha ukurasa huu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  30 Safar 1444 Na: HTS 1444 / 09
M.  Jumatatu, 26 Septemba 2022

 Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki Mkao wa Kadhia za Umma
(Imetafsiriwa)

Sisi katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Sudan tunafuraha kuwaalika ndugu zetu katika vyombo vya habari, wanasiasa, na wanafikra na maoni kuhudhuria na kushiriki katika Mkao wa Masuala ya Ummah wa kila mwezi, ambao unahusu masuala ya kisasa, chini ya kichwa:

Katiba ya Muda na Vikwazo vya Suluhu

Wazungumzaji katika mkao ni:

1- Ustadh na Wakili Hatem Jaafar – Mwanachama wa Baraza la Wilayah la Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan.

2- Ustadh Abdullah Hussein - Mratibu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan.

Na mwenyekiti wa mkao ni, Ustadh Muhammad Jameh (Abu Ayman) – Msaidizi wa Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan.

Tarehe: Jumamosi 05 Rabi’ Al-Awwal 1444 H sawia na 01/10/2022 M, at 11 am.

Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan - Khartoum Mashariki/ Barabara ya Magharibi ya Al-Mak Nimr makutano ya Barabara ya 21 Ockoba.

Wale ambao hawataweza kuhudhuria wanaweza kutufuatilia kupitia mitandao ifuatayo:

Ukurasa wa Vyuo Vikuu: https://www.facebook.com/tahrir1953/

Ukurasa wa Wilayah: https://www.facebook.com/HTSudan/

Chaneli ya YouTube ya Hizb: https://www.youtube.com/channel/UCUwZ-FlOIDgnk2Mook_9M-A

Kuhudhuria kwenu kunanogesha mkao.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.