Logo
Chapisha ukurasa huu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  11 Jumada II 1444 Na: HTS 1444 / 20
M.  Jumatano, 04 Januari 2023

 Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Mkao wa Kadhia za Umma
(Imetafsiriwa)

Sisi, katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Sudan, tunafuraha kuwaalika ndugu katika vyombo vya habari, wanasiasa, na watu wa fikra na maoni, kuhudhuria na kushiriki katika Mkao wa Kadhia za Ummah wa kila mwezi, ambao unashughulikia masuala ya kisasa, chini ya kichwa:

Bajeti 2023 na Mgogoro wa Uhalisia

Wazungumzaji:

1-    Ustadh Abdullah Abdul Rahman Tandili – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir

2-    Ustadh Abdul Qadir Abdul Rahman – Mwanachama wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan

Mwendesha Mkao: Ustadh Ahmed Al-Khatib – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir

Tarehe: Jumamosi 14 Jumada II 1444 H sawia na 01/07/2023 M, saa tano asubuhi

Sehemu: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan, Khartoum Mashariki – Magharibi mwa makutano ya Barabara ya Al-Mak Nimr na Barabara ya 21 Oktoba.

Wale ambao hawataweza kuhudhuria wanaweza kutufuatilia kwenye mitandao ifuatayo:

Ukurasa wa Wilayah: https://www.facebook.com/HTSudan/

Ukurasa wa Vyuo Vikuu: https://www.facebook.com/tahrir1953/

Chaneli ya Hizb ya YouTube: https://www.youtube.com/channel/UCUwZ-FlOIDgnk2Mook_9M-A

Kuhudhuria kwenu ni heshima kwetu.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.