Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Ukurasa Mpya wa Kitengo cha Wanawake katika Facebook

Idara ya Facebook imeufunga ukurasa rasmi wa Kiingereza wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kwa mara ya nne bila ya sababu yoyote

Na pamoja na hivyo, sababu iliyo wazi kabisa kulingana na sisi… ni kuwa wao wanataka kuinyamazisha sauti ya haki wanayoipaanza wanawake wa Kiislamu ambao kwayo wanaubainisha Uislamu kuwa ndio njia yao ya ukombozi kutokana na mateso badala ya mfumo wa kimatata wa kiliberali wa kisekula ambao umekidunisha cheo cha wanawake na ukazalisha matatizo makubwa kwao

Lakini sisi tumekataa kunyamazishwa

Huu hapa ni ukurasa rasmi mpya wa Kiingereza wa Facebook wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir:

  https://www.facebook.com/pg/womenscmoht

Tafadhali saidia kwa njia ya ku-like, kufuata, na ku-share ukurasa wetu huu, na Mwenyezi Mungu humsaidia mja maadamu mja huyu humsaidia nduguye.

Jumatano, 08 Dhu al-Hijjah 1441 H sawia na 29 Julai 2020 M

 

 

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoAlhamisi, 30 Julai 2020 21:08
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.