Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Ewe Mwenyezi Mungu! Jaaliya Ukombozi wa Kashmir uwe Utangulizi wa Ukombozi wa Palestina!

Mabadilishano ya makombora kati ya Pakistan na India yanaendelea katika njia nyingi za kusitisha mapigano huko Kashmir baada ya India kushambulia kwa mabomu maeneo tisa ndani ya Pakistan usiku wa Mei 6, ambayo ilisema ni "miundombinu ya kigaidi iliyohusika na shambulizi la silaha huko Kashmir" mwezi uliopita. Suluhisho la kivitendo la kusonga mbele haliwezi kuwa mzozo mdogo, lakini lazima liwe ukombozi wa kina wa maeneo yanayokaliwa kimabavu. Jihad haiishii kwenye kupata baadhi ya mafanikio au kukamata askari wachache, bali ni lazima imalizie kwa kuzikomboa ardhi za Waislamu na kuinua neno la Mwenyezi Mungu Mtukufu. Kushindwa kufanya hivyo ni kumsaliti Mwenyezi Mungu Mtukufu Mtume wake (saw), na waumini. Kwa hiyo, ni lazima tupigane vita kwa nguvu zetu zote, kwa utiifu kamilifu kwa Mwenyezi Mungu (swt). Ni lazima tutangaze kusimamishwa kwa Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Mtume, na tushiriki katika jihad huko Kashmir, kwani huu ni utangulizi wa ukombozi wa Palestina.

#Time4Khilafah

Imetolewa na: Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan

Alhamisi, 10 Dhu al-Qi'dah 1446 H sawia na 08 Mei 2025 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Tovuti Rasmi ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Akaunti ya X: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.