Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Wilayah Syria: Maandamano ya Kijiji cha Sahara "Ewe Daraa, Tusamehe (Lakini wakiomba msaada kwenu katika Dini, basi ni juu yenu kuwasaidia) [Al-Anfaal: 72]"

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Al-Sahara viungani mwa Aleppo, baada ya swala ya Ijumaa,  kwa anwani "Ewe Daraa, Tusamehe (Lakini wakiomba msaada kwenu katika Dini, basi ni juu yenu kuwasaidia) [Al-Anfaal: 72]"

Ijumaa, 26 Muharram Al-Haram 1443 H sawia na 03 Septemba 2021 M

- Kalima ya Ndugu Muhammad Waleed katika Maandamano Hayo -

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.