Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Kisimamo kwa Anwani: “Umepita karibu na Mtu anayedhulumiwa, lakini Hukumnusuru!”
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kalima iliyotolewa na Ustadh Abdo Al-Dilli (Abu Al-Mundhir) wakati wa kisimamo kilichoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Syria siku ya Ijumaa, "Dhulma ya Madhalimu baada ya Masiku, ni Makaburi ya Madhalimu" katika mji wa Al-Bab.