Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Wilayah Syria: Kisimamo cha Barabara Kuu ya Idlib / Bab Al-Hawaa "Ewe Daraa, Tusamehe (Lakini wakiomba msaada kwenu katika Dini, basi ni juu yenu kuwasaidia) [Al-Anfaal: 72]"

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika barabara kuu ya Idlib / Bab Al-Hawaa, baada ya swala ya Ijumaa, kwa anwani "Ewe Daraa, Tusamehe (Lakini wakiomba msaada kwenu katika Dini, basi ni juu yenu kuwasaidia) [Al-Anfaal: 72]"

Ijumaa, 26 Muharram Al-Haram 1443 H sawia na 03 Septemba 2021 M

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.