Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 101 ya Kuvunjwa Khilafah

Kutoka ukurasa huu tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika mwezi wa mtukufu wa Rajab wa mwaka huu wa 1443 H kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H.

Ijumaa, 17 Rajab Tukufu 1443 H - 18 Februari 2022 M

Kalima ya Msikitini: Lau kama Waislamu Wangekuwa na Khalifa?!

Kalima ya msikitini ya Ustadh Mahmoud Al-Bakri (Abu Astwif) kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kafiri mkoloni kwa msaada wa wasaliti wa Kiarabu na Kituruki kuivunja Dola ya Khilafah.

Iliyotolewa katika moja ya misikiti viungani mwa Aleppo Kaskazini

Jumamosi, 18 Rajab Tukufu 1443 H - 19 Februari 2022 M

Alama Ishara za Kampeni

#أقيموا_الخلافة

#الخلافة_101

ReturnTheKhilafah#

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Chaneli ya Telegram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.