Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Kisimamo cha Sahara kwa Ajili ya Al-Aqsa “Masaibu Yenu ni Masaibu Yetu na Damu Zenu ni Damu Zetu!”

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Sahara viungani mwa Aleppo, kisimamo cha kuwanusuru na kuwaombea nusra watu wa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa ulio mateka kwa anwani “Masaibu Yenu ni Masaibu Yetu na Damu Zenu ni Damu Zetu!”

Jumapili, 16 Ramadhan Tukufu 1443 H – 17 Aprili 2022 M

- Kalima ya Ndugu Amir Salim Wakati wa Kisimamo -

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Chaneli ya Telegram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.