Logo
Chapisha ukurasa huu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  12 Safar 1442 Na: HTS 1442 / 15
M.  Jumanne, 29 Septemba 2020

Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kadhia za Ummah
(Imetafsiriwa)

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Sudan inafurahi kuwaalika kuhudhuria kikao cha Kadhia za Ummah, na ni heshima kwake kushiriki kwenu ndani ya mkusanyiko wa wanasiasa, wanahabari, na watu wa maoni, kujadili maendeleo ya kadhia na kupata maono mazito na yenye mwanga, yenye kuuamsha Ummah wetu kutokana na kulemaa kwake kivitendo, na kuurudisha kama ulivyokuwa; Ummah bora ulioletwa kwa watu. Na maudhui ya wiki hii ni kwa anwani:

“Matokeo ya Kongamano la Kiuchumi ... Mtazamo wa Kina wa Kisheria”

Watakaozungumza katika kikao hiki ni:

  1. Ustadh Nasser Ridha – Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan.
  1. Ustaadh Awadh Naji – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan.

Eneo: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan - Khartoum Mashariki, makutano ya magharibi ya barabara ya Al-Mak Nimr na barabara ya 21 Octoba.

Wakati: Jumamosi, 16 Safar 1442 H sawia na 03/10/2020 M – saa tano Asubuhi.

Uwepo wenu unamaanisha kuwa na hamu kwenu na kadhia za Ummah

Ibrahim Uthman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 0912240143- 0912377707
http://www.hizb-sudan.org/
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.