Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
H. 22 Dhu al-Hijjah 1446 | Na: HTS 1446 / 70 |
M. Jumatano, 18 Juni 2025 |
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kisiasa
(Imetafsiriwa)
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Sudan inazindua hafla ya kawaida kwa kichwa: "Kikao cha Kisiasa". Mwaliko unatolewa kwa wataalamu wa vyombo vya habari, wanasiasa, na wale wote wanaopenda masuala ya umma kuhudhuria na kushiriki.
Kikao cha kwanza cha Kisiasa mwezi huu wageni wake watakuwa ni Bwana Hatim Jaafar, mwanasheria na mjumbe wa Baraza la Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Sudan, chini ya mada: "Sera ya Trump na Athari Zake kwa Mwamko wa Umma wa Kiislamu."
Kikao hicho kitasimamiwa na Bw. Muhammad Jaami‘ (Abu Ayman), Msemaji Msaidizi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan.
Tarehe: Jumamosi, 25 Dhu al-Hijjah 1446 H, sawia na 21/06/2025 M, saa saba mchana, Mwenyezi Mungu akipenda.
Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan mjini Port Sudan - mtaa wa Al-‘Azamah.
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan
Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari Wilayah Sudan |
Address & Website Tel: 0912240143- 0912377707 http://www.hizb-sudan.org/ |
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com |