Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
H. 7 Muharram 1447 | Na: HTS 1447 / 02 |
M. Jumatano, 02 Julai 2025 |
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki
katika Kikao cha Masuala ya Ummah
(Imetafsiriwa)
Sisi, katika Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, tunafuraha kuwaalika wanataaluma wa vyombo vya habari, wanasiasa, na wale wanaohusika na masuala ya umma kuhudhuria na kushiriki katika Kikao cha Masuala ya Ummah wa kila mwezi, ambacho mwezi huu kitakuwa na kichwa:
“Hatari ya Kuyatazama Mamlaka Kama Keki Inayopaswa Kugawanywa”
Wazungumzaji kwenye mkao ni:
1. Ustadh Muhammad Jaami’ (Abu Ayman) – Msaidizi wa Msemaji wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan.
2. Ustadh Al-Nadhir Mukhtar – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir
3. Msimamizi wa Kikao: Ustadh Ibrahim Musharraf – Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan.
Tarehe: Jumamosi, 10 Muharram 1447 H – sawia na 05/07/2025
Wakati: 1:00 Adhuhuri
Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, Port Sudan – Mtaa wa Al-‘Azamah – Mashariki mwa Uga wa Port Sudan
Kuhudhuria kwenu ni heshima kwetu, kwani kunaonyesha kujali kwenu mambo ya Ummah wenu.
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan
Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari Wilayah Sudan |
Address & Website Tel: 0912240143- 0912377707 http://www.hizb-sudan.org/ |
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com |