Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
| H. 29 Rabi' II 1447 | Na: HTS 1447 / 45 |
| M. Jumanne, 21 Oktoba 2025 |
Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kisiasa
(Imetafsiriwa)
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan inafuraha kuwaalika ndugu zetu wanahabari, wanasiasa, na wote wanaopenda masuala ya umma kuhudhuria na kushiriki katika kikao kipya cha kisiasa, ambacho kitamkaribisha Ustadh Muhammad Jami’ (Abu Ayman), Msaidizi wa Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan, chenye kichwa:
Msimamo wa Serikali kuhusu Kufutwa kwa Kadhia ya Palestina na Hukmu ya Sharia juu yake
Kikao hicho kitasimamiwa na Ustadh Ibrahim Musharraf, mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayah Sudan.
Wakati: Jumamosi, 3 Jumada al-Awwal 1447 H sawia na 25 Oktoba 2025 M, saa 1:00 Adhuhuri, Mwenyezi Mungu akipenda
Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan jijini Port Sudan, Wilaya ya Al-Azma, Mashariki mwa Uga wa Michezo.
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan
| Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari Wilayah Sudan |
Address & Website Tel: 0912240143- 0912377707 http://www.hizb-sudan.org/ |
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com |