Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
| H. 5 Jumada II 1447 | Na: HTS 1447 / 59 |
| M. Jumatano, 26 Novemba 2025 |
Mwaliko wa Kuhudhuria Muhadhara wa Kisiasa
(Imetafsiriwa)
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan inafuraha kuwaalika wataalamu wa vyombo vya habari, wanasiasa, na wale wote wanaopenda masuala ya umma kuhudhuria na kushiriki katika muhadhara mpya ya Kikao cha Kisiasa, ambao utawasilishwa na Ustadh Ibrahim Mushrif, mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan, wenye kichwa:
Mzozo wa Kikoloni barani Afrika - Sudan kama Mfano
Kikao kitaongozwa na Ustadh Ya’qoub Ibrahim, Mwanachama wa Hizb ut Tahrir.
Wakati: 08 Jumada al-Akhirah 1447 H sawia na 29/11/2025 M, at 1 PM, InshaAllah.
Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, mjini Port Sudan – Wilaya ya Al-Azma – Mashariki mwa Uga.
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb Ut Tahrir
katika Wilayah Sudan
| Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari Wilayah Sudan |
Address & Website Tel: 0912240143- 0912377707 http://www.hizb-sudan.org/ |
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com |