Logo
Chapisha ukurasa huu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  6 Rabi' I 1448 Na: HTS 1448 / 30
M.  Jumatano, 19 Agosti 2026

Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kisiasa

(Imetafsiriwa)

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan inafuraha kuwaalika ndugu wanahabari, wanasiasa, na wale wanaopenda masuala ya umma kuhudhuria kikao kipya cha Kisiasa, kinachomshirikisha Ustadh Yaqoub Ibrahim, mwanachama wa Hizb ut Tahrir, chenye kichwa:

Dori ya Mashirika ya Kikanda katika Siasa za Sudan

Tarehe: Jumamosi, 9 Rabi’ al-Awwal 1448 H, sawia na 22/8/2026 M

Wakati: 7:00 adhuhuri, Mwenyezi Mungu akipenda.

Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan mjini Port Sudan - Wilaya ya Al-Azama Mashariki mwa Uwanja wa Michezo

Ibrahim Othman (Abu Khalil)

Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir

katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.