Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan: Kikao cha Kadhia za Ummah

Kunyanyua Utambuzi wa Umma na Kuufanya Ubebe Jukumu la Kusimamisha Tena Khilafah

Wazungumzaji walikuwa Dkt. Muhammad Abdel-Rahman – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir aliyezungumzia mada: Kazi ya kisiasa haiwi na natija isipokuwa inapojengwa juu ya Uislamu.

Huku Bw. Ahmed Abaker – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir aliwasilisha waraka kuhusu Vijana ndio nguzo za mageuzi, na juu ya mabeba yao Khilafah itaibuka na Umma wa Kiislamu utanyanyuka.

Mwendeshaji kikao alikuwa Mhandisi Ahmed Jaafar – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir.

Kikao hiki kilipeperushwa moja kwa moja katika chaneli ya setilaiti ya Omdurman, na kupitia matangazo ya moja kwa moja ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan katika YouTube na Facebook.

Mwishoni mwa kikao hiki, mwasilishaji wa kikao hiki, Mh. Ahmed Jaafar, aliwashukuru wahudhuriaji kwa kushiriki kwao.

8 Rajab 1442 H sawia na 20/02/2021 M

 Mjumbe wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan

Uangaziaji wa Chaneli ya Setilaiti ya Omdurman wa Kikao Hiki

Sehemu ya Kwanza

Uangaziaji wa Chaneli ya Setilaiti ya Omdurman wa Kikao Hiki

Sehemu ya Pili

Mkusanyiko wa Picha

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.