Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Uholanzi: Muhadhara kwa kichwa, “Mabadiliko ya Tabia Nchi na Mtazamo wa Uislamu”

Muhadhara ulifanywa na Hizb ut Tahrir / Uholanzi siku ya Jumapili ya 1 Machi, 2020 M kwa kichwa, “Mabadiliko ya Tabia Nchi na Mtazamo wa Uislamu” kwa sababu za Mabadiliko ya tabia nchi tunayo shuhudia na uhalisia wa sasa wa namna ambavyo Magharibi imeleta athari mbaya katika mabadiliko ya tabia nchi. Pia ni kwa namna gani urasilimali ndio chanzo msingi.

Mada moja ilijadili kuhusu namna ambavyo mfumo wa Kiislamu ndio suluhisho pekee la kuhifadhi mazingira.

Ujumbe wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Ulaya

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumatano, 11 Machi 2020 06:52
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.