Hizb ut Tahrir / Uholanzi: Semina kwa Anwani “Vipaumbele vya Umma”
- Imepeperushwa katika Uholanzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Uholanzi ilifanya semina katika mji wa Utrecht wa Uholanzi kwa anwani "Vipaumbele vya Umma"
Hizb ut Tahrir / Uholanzi ilifanya semina katika mji wa Utrecht wa Uholanzi kwa anwani "Vipaumbele vya Umma"
Hizb ut Tahrir / Uholanzi yaandaa Kongamano la Khilafah la kila mwaka chini ya kichwa:
“Kulenga familia ya Kiislamu katika nchi za Magharibi”
Hivi karibuni, mashambulizi dhidi ya Kitabu cha Mwenyezi Mungu Mtukufu yamefanywa upya katika nchi nyingi za Ulaya, ikiwemo Uswidi, ambapo mtu muovu mwenye chuki iliichoma moto nakala ya Qur'an Tukufu mbele ya ubalozi wa Uturuki jijini Stockholm, na kisha mtu mmoja mwanachama wa Harakati dhidi ya Kiislamu ya Pegida iliichana nakala ya Qur’an nchini Uholanzi
Hizb ut Tahrir / Uholanzi iliandaa kongamano lake la Khilafah la kila mwaka kwa anwani: "Kuamiliana na Watu wenye Mawazo Tofauti Tofauti ndani ya Dola ya Khilafah" kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Dola ya Kiislamu (Khilafah)
Hizb ut Tahrir / Uholanzi imefanya msururu wa matukio kufuatia muongozo wa Amir wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni mkubwa, At Bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amuhifadhi, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kiulimwengu ikifanywa na Hizb ut Tahrir katika kumbukumbu ya 99 ya Kuanguka kwa Khilafah 1441 H - 2020 M.
Muhadhara ulifanywa na Hizb ut Tahrir / Uholanzi siku ya Jumapili ya 1 Machi, 2020 M kwa kichwa, “Mabadiliko ya Tabia Nchi na Mtazamo wa Uislamu” kwa sababu za Mabadiliko ya tabia nchi tunayo shuhudia na uhalisia wa sasa wa namna ambavyo Magharibi imeleta athari mbaya katika mabadiliko ya tabia nchi.
Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ili zindua kampeni pana ya kiulimwengu kuadhimisha tukio Adhimu la Hvijria la Ukombozi wa Konstantinopoli (mji wa Heraclius) ambao ulizungukwa kuanzia mnamo 26 Rabii’ al-Awwal mpaka 20 Jumada al-Awwal 857 H sawia na 5 Aprili mpaka 29 Mei 1453 M na hivyo bishara njema ya Hadith tukufu ya Nabii (saw) ikatimia:
Hizb ut Tahrir / Uholanzi ilifanya maandamano mbele ya Ubalozi wa Uchina katika Mji wa Hague, mji wa kisiasa wa Uholanzi, ili kupinga uhalifu wa serikali ya Uchina na mshikamano wetu na Wauighur wa Mashariki ya Turkestan.