Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Kongamano la Istanbul "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Matatizo ya Kiuchumi"

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano kwa wote mjini Istanbul kwa anwani "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Matatizo ya Kiuchumi", ambapo Ustadh wa Sharia Abdullah Imamoglu alitoa kalima yenye kichwa "Uislamu ndio njia pekee ya mwamko sahihi". Baada ya kalima ya Ndugu Abdullah Imamoglu , rekodi ya video ilionyeshwa yenye kichwa "Chanzo cha Matatizo ya Kiuchumi na Suluhisho lake la Kiislamu", kongamano hili ambalo mashirika yasiyo ya kiserikali yalishiriki ndani yake lilihitimishwa kwa kalima ya Ustadh Musa Beyoglu iliyokuwa na kichwa "Sababu ya migogoro ya kiuchumi na suluhisho lake la Kiislamu".  

Kwa Maelezo Zaidi Bonyeza Hapa

Jumapili, 23 Rabi' ul-Akhir 1443 H sawia na 28 Novemba 2021 M

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir/ Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir/ Wilayah Uturuki

Jarida la kokludegisim

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.