Jumapili, 27 Jumada al-awwal 1445 | 2023/12/10
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Kisimamo mbele ya Ubalozi wa Marekani “Niko hapa kama Muislamu!”

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 33,000 hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa amali mbele ya Ubalozi wa Marekani jijini Ankara chini ya kichwa:

“Niko hapa kama Muislamu… Mfurusheni Myahudi Bliken!”

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Amali ya Matembezi: “Gaza Haifi Maadamu Nyinyi muko Hai!”

  

Mbele ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wa waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha vifo na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 23 elfu hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa amali pana Chini ya kichwa:

“Gaza Haifi Maadamu Nyinyi muko Hai!”

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Amali “Ijumaa – Majeshi kwenda Al-Aqsa”

Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linachoendelea na kudumu katika shambulizi lake linaloendelea kwa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na uzingiraji wake na ulipuaji mabomu wa Ukanda wa Gaza ambao umekuwa ikiendelea kwa miaka 17

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: “Ima ikomboeni Palestina au fungueni njia kwa Umma!”

Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na Mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile nyakuzi la Kiyahudi, ambalo linaendelea na kuzidi na hujuma yake inayoendelea dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na uzingiraji na ulipuaji wake wa mabomu ambao umeendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut-Tahrir / Wilayah ya Uturuki inaandaa mikesha jijini Ankara na Istanbul kwa kichwa:

“Ima ikomboeni Palestina au fungueni njia kwa Umma!”

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu