Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi: Ustaadh Ahmad Helmi Musa (Abu Abdullah)
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina inamuomboleza mmoja wa Mashababu wa Hizb, marehemu mbebaji dawah, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu (swt)