Alhamisi, 16 Dhu al-Hijjah 1441 | 2020/08/06
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Uzinduzi Rasmi wa Hizb ut Tahrir / Kenya wa Kampeni Pana Chini ya Kauli Mbiu: BBI Mchezo Ule Ule Mbinu Mpya

Ripoti ya Mradi wa Kuunganisha Daraja (BBI) iliyochapishwa katika gazeti rasmi la serikali mnamo 24 Mei 2018 na ikawekwa hadharani kwa umma mnamo Novemba mwaka jana ili kujadiliwa na umma, imeonekana kama 'Alfajiri Mpya' na kudhaniwa kuwa italeta umoja, mapinduzi ya kiuchumi na kupambana na kasumba ya watu fulani tu kukwamia madarakani na ufisadi-sugu ambayo ni majanga ya kudumu yanayoikumba Kenya kwa zaidi ya nusu karne. 

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Kenya iliandaa amali wakati wa kampeni ya kiulimwengu: Ukombozi wa Konstantinopoli Bishara Njema ikatimia inafuatiwa na Bishara Njema Nyingine

Chini ya uongozi wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Maarufu, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amuhifadhi, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kiulimwengu kuadhimisha tukio adhimu la Hijria la Ukombozi wa Konstantinopoli (mji wa Heraclius) ambao ulizingirwa kuanzia 26 Rabii' al-Awwal hadi 20 Jumada al-Awwal 857 H sawia na 5 Aprili hadi 29 Mei 1453 M na hivyo bishara njema ya Hadith tukufu ya Mtume (saw) ilitimia:

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu