Jumatatu, 23 Jumada al-thani 1441 | 2020/02/17
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hukmu ya Baba Anaye Muozesha Binti Yake Pasi na Ridhaa Yake

Ni njia ipi ya kutatua tatizo hili endapo ndoa itafungwa ilhali bado haijakamilika? Sio kwa sababu nimelazimishwa kutia saini, bali kwa sababu wameniambia kuwa mchumba au bwana harusi yuko mlangoni na nikamkubalia, lakini kwa kuhisi kuwa chini ya shinikizo na kulazimishwa kukubali pasi na kuzungumzishwa.

Soma zaidi...

Jinsi ya Kuifahamu Hadith “Hakuna Kinachoirudisha Qadhaa Isipokuwa Dua”

Katika kitabu At-Tafkeer Al-Islami, ambacho ni mojawapo ya vitabu vilivyo tabanniwa, kinataja kuwa dua hairudishi qadar na haibadilishi qadhaa au elimu ya Mwenyezi Mungu (swt). Lakini kuna nususi kutoka katika Qur'an na Sunnah ambazo nionavyo mimi ni kana kwamba zinagongana na ufahamu huu; imesimuliwa kwamba Mtume (saw) amesema...

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu