Alhamisi, 18 Dhu al-Qi'dah 1441 | 2020/07/09
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Enyi Waislamu, Ngao ya Frati, Tawi la Mzeituni na Chemchem ya Amani Zote ni Hatua katika Msururu wa Kufufua Muundo wa Utawala!

Aliyoyafanya na anayoyafanya Erdogan ni kutekeleza yale ambayo Amerika inayataka; kuimarisha utawala wa kidhalimu ndani ya Syria kwa kutumia mikono miovu ya kimataifa, kimaeneo na mashinani. Hii ni baada ya kelele za watu na uasi wao uliposhtua utawala na Amerika nyuma yake na washirika wake kutoka Urusi, Iran na Erdogan wa Uturuki na makundi yake na kupanga njama ili kutekeleza mipango ya Amerika ili kuimarisha nidhamu iliyokita ya Kisekula ndani ya mji wa Ash-Sham!

Soma zaidi...

Hatimaye, Viziba Uso Vimeanguka kutoka Nyusoni mwa Vibaraka wa Marekani, Erdogan, Rouhani na Putin. Wameshughulishwa na uwakala wa kuhakikisha wanamhifadhi kibaraka wa Marekani ndani ya Syria, ili Marekani imakinike kutatua Janga la Korea na China

Siku ya Jumatano 04/04/2018, maraisi wa Urusi, Iran na Uturuki walikutana mjini Ankara, na kutoa kauli yao ya mwisho. Ilikuwa wazi kutokana na kauli hiyo, ima kupitia kauli ya maandishi au kwa yaliyofichika…kwamba wao watatu wameamua kuhakikisha wanaudhibitisha utawala wa kibaraka wa Marekani ndani ya Syria, na kusitisha muamko wa watu wa Syria wa kutaka kusimamisha utawala wa Kiislamu.

Soma zaidi...

Tangazo la Trump Huku Watawala Wakikosa Kuchukua Hatua Yoyote Mbele Yake Ni Kofi Zito Migongoni Mwao Amewavua Hata Sitara iliyo Wafinika Uchi Wao

Usiku wa leo tarehe 6-7/12/2017 Trump ametangaza Al-Quds (Jerusalem) kuwa mji mkuu wa dola ya Kiyahudi: “Katika barua kutoka ikulu ya White House mnamo Jumatano, raisi wa Amerika Donald Trump aliitambua Jerusalem kama mji mkuu wa “Israel” na kuamuru Wizara ya Kigeni ya Amerika kufanya matayarisho ya kuhamisha ubalozi wake kutoka mji wa Tel Aviv mpaka Jerusalem, na kuanza kandarasi na wajenzi…

Soma zaidi...

Amerika na Miungano yake imeingiwa na Wazimu wa Kupindukia kwa Kufeli kwao Kuwanyamazisha Watu wa Ash-Sham

Ndani ya miaka sita, Amerika imefanyakazi kwa nguvu kupitia njia zake tofauti tofauti ili kuwasalimisha watu wa Ash-Sham mbele ya dhalimu ili kukubali mashambulizi na mauaji yake. Lakini hawakufaulu na licha ya kutumia kila njia zikiwemo za umwagaji damu na za kikatili. Ilitumia mizinga ya angani na baharini. Kisha ikawatumia Iran na kufuatiwa na Urusi.

Soma zaidi...

Hatimaye Theluji Imeyeyuka na Kudhihirisha Madhambi Makubwa ya Watawala Vibaraka na Makundi Yaliyowasalimisha kwa Maadui

Alfajiri ya 1/1/2017, Maamuzi ya Baraza la Usalama yalipitishwa: “Kwa pamoja kulipitishwa maamuzi ya makubaliano ya kusitisha vita ndani ya Syria ambayo yalipigwa jeki na Urusi na Uturuki. Maamuzi ya Baraza la Usalama liliomba kufanyike usambazaji wa haraka wa kibinadamu kwa wakaazi wa maeneo yanayohitaji…” (BBC Kiarabu alfajiri ya 1/1/2017).

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu