Jumapili, 14 Dhu al-Qi'dah 1441 | 2020/07/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Wajumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan Walikutana na Naibu Katibu wa Kwanza wa Wizara ya Habari na Utamaduni

Wajumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan walikutana na Ustadh Ar-Rashid Saeed Yaqoub, Naibu Katibu wa Kwanza wa Wizara ya Habari na Utamaduni, na aliyepewa jukumu la mkurugenzi wa Mamlaka ya Kitaifa ya Redio na Runinga katika afisini mwake mnamo Jumatatu 06/01/2020.

Soma zaidi...

Wacha Ummah Usimame dhidi ya Taasisi hizi Ovu na Uzuie Mipango Yake

Kundi la mashirika linadhamiria kufanya mandamano saa sita mchana, Alhamisi 02/01/2020, kudai kutiwa saini kwa Makubaliano ya Kuondoa Aina zote za Ubaguzi dhidi ya Wanawake (CEDAW), na kusema kwamba maandamano hayo yatakutana na Waziri Mkuu na Waziri wa Sheria kukabidhi ujumbe huo, na kutangaza kuwa mashirika yote yaliyoshiriki katika maandamano hayo yanajumuisha “The Strategic Initiative for Women in the Horn of Africa,” The Initiative of No to the Oppression of Women, the Women's Union, vile vile kamati za upinzani na mkusanyiko wa Kendakat kusini mwa Khartoum.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu