Miaka Mia Moja Bila ya Khilafah! Isimamisheni, Enyi Waislamu
- Imepeperushwa katika Uingereza
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Miaka Mia Moja Bila ya Khilafah! Isimamisheni, Enyi Waislamu
Miaka Mia Moja Bila ya Khilafah! Isimamisheni, Enyi Waislamu
Uislamu Umejengwa Juu ya Fikra Angavu na Hatupaswi Kukubali Chochote Kutoka kwa Watawala Wetu Kinyume na Hivi
Siku nyingine shambulizi jengine dhidi ya Uislamu na Waislamu. Kilichokuwa kikiachiwa vyombo vya habari sasa kinazidi kuchukuliwa na wanasiasa.
Urasilimali Unafeli kwa Kila Kipimo: Ni Wakati Sasa wa Uchumi Mpya
Tunaishi katika zama ambazo uongo, habari potofu na tuhma zisizo na msingi ni jambo kawaida kabisa, na marais, mawaziri wakuu na vyombo vikuu vya habari hunadi batili hii kila siku bila ya aibu.
Kila mara watetezi wa chuki ya usekula hudai haki yao ya kuwatusi Waislamu kupitia uchomaji nakala zilizo chapishwa za Qur'an na kuchapisha vikaragosi vinavyomkejeli Mtume Muhammad (saw).
Ripoti Mpya: Kuzama kwa Kina - Ulimwengu Baada ya COVID-19
Vyombo vya habari vya Uingereza vimepata ubabaishaji mpya kutokana na hali mbaya ya uchumi wa Uingereza.
Kujibu janga la virusi vya korona inahitaji nidhamu kamili ya utunzaji inayofanyakazi katika ngazi zote, ambapo ustawi wa watu wote ndio jambo la msingi.
Mfumo wa kibepari uliojengwa juu ya itikadi ya kisekula unafichuliwa na janga la virusi vya Korona.