Jumapili, 29 Jumada al-thani 1441 | 2020/02/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Lini Mtume wa Mwenyezi Mungu(saw) Alisimamisha Dola ya Kiraia?!

Mahmoud Al Junaid, Naibu Waziri Mkuu mpya aliyeteuliwa mnamo 05/11/2019 kwa ajili ya “Ruwaza ya Kitaifa ya Dola ya Kisasa ya Yemen” aliweka wazi kwa mara ya kwanza msamiati wa ‘dola ya kiraia’ pale aliposisitiza katika mkutano na Mawaziri wa Usafiri Zakaria al-Shami, Utawala wa mitaa Ali al-Qaisi, na huduma kwa raia Idris Al-Sharajbi, mnamo Jumanne 19/11/2019

Soma zaidi...

Yemen isiyokuwa na Ubwana yatafuta Ulinzi kupitia Droni!

Rais wa Yemen Abd Rabbo Hadi katika hotuba yake katika Chuo cha Polisi huko Sana'a siku ya Alhamisi, 22 Agosti 2013 na kutangazwa na vyombo vya habari rasmi kuwa alitaka Droni zaidi za Amerika kwa sababu, kulingana na madai yake anataka kukuza na kuimarisha jeshi la Yemen kukabiliana na al-Qa’ida. Taarifa hizi ziliambatana na ripoti kwenye chaneli za habari na magazeti kwamba Pentagon imetenga dola milioni 35 kwa ajili ya droni, kufuatilia na kudhibiti vifaa ili kupambana na al-Qa'ida ndani ya Yemen. Hotuba hii iliambatana na ujio wa kamanda Amiri jeshi mkuu wa Amerika nchini Yemen siku ya Jumamosi, 24 Agosti 2013 ili kuanzisha vyumba vitatu vya opareshini kwa kushirikiana na Yemen kupambana na ugaidi.

Soma zaidi...

Ubwana Unaodaiwa Umeuzwa Kwa Bei Nafuu!

Gazeti la Al Shari’ liliripoti Jumamosi tarehe 14 Agosti, 2013, katika toleo la Na: 589 makala iliyopewa jina:  "Makubaliano ya siri ya Kijeshi kati ya Yemen na Amerika" na ilisema yafuatayo:  "Jeshi la Amerika lilipewa uhuru wa kuruka juu ya ardhi yote na anga ya Yemen kwa kufanya uchunguzi wakati wowote kila siku. Na ndege za Amerika zilipewa uhuru wa kutua na kuondoka kwa siri kutoka katika Uwanja wa ndege wa Sana'a na kwa mahitaji ya dharura na Jeshi la Majini la Amerika lilipewa uhuru wa kutembea katika maji ya Kitaifa ya Yemen kutumia ukanda wa pwani nchini Yemen. Na idadi ya askari wa Amerika iliongezeka huko Al-Anad na Sana'a, na uwepo wa meli saba za kivita za Amerika na meli nne za kivita za Uingereza kusafiri katika maji ya Yemeni, na muda wa makubaliano ni miezi sita na inaweza kuongezeka."

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu