Jumapili, 21 Dhu al-Qi'dah 1441 | 2020/07/12
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Katika Maadhimisho ya Miaka Tisini na Tisa ya Kuvunjwa kwa Khilafah, Isimamisheni Kabla ya Kutimia Miaka 100

Miaka tisini na tisa ... Huu hapa mwaka mwingine umepita katika maisha yetu, na kumbukumbu ya kuvunjwa kwa Khilafah imerudi kutuzuru tena, kutukumbusha kuwa Ummah wa Kiislamu umechelewa kutoa ahadi ya utiifu kwa Imamu kwa miaka yote hiyo! Kwa hiyo, je, itasimamishwa leo kabla ya maadhimisho ya mwaka wa 100?!

Soma zaidi...

Khilafah Ikavunjwa … kwa hiyo Wanaoabudu Ng’ombe nchini India Wakawashinda nguvu “Ummah Bora Uliotolewa kwa Watu” … Enyi Majeshi ya Waislamu kwa Nini Hamuchangamki?!

Tangu Februari 24, 2020, mji mkuu wa India, Delhi, umekuwa ukishuhudia mauaji yanayotekelezwa na wanaoabudu ng’ombe dhidi ya Waislamu. Zaidi ya Waislamu 40 wameuawa na zaidi ya 200 wamejeruhiwa.

Soma zaidi...

Kuhitimisha Kampeni ya “Ukombozi wa Konstantinopoli Bishara Njema Ikatimia…inafuatiwa na Bishara Njema Nyingine!” (Imetafsiriwa)

Leo tunahitimisha kampeni ya habari ya kiulimwengu iliyozinduliwa na afisi kuu ya habari ya Hizb ut Tahrir kwa kuagizwa na Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, ili Kukumbuka Tukio la Hijria la Ukombozi wa Konstantinopoli kwa anwani: “Ukombozi wa Konstantinopoli Bishara Njema Ikatimia... inafuatiwa na Bishara Njema Nyingine!” Kampeni hii ilifanyika kwa ushirikiano na Shabab wa chama cha Hizb na wafuasi wa ulinganizi wa kusimamisha Khilafaha ya Uongofu ya pili kwa njia ya Utume duniani.

Soma zaidi...

Ukumbusho wa Ukombozi wa Konstantinopoli Uzinduzi wa Kampeni kwa Anwani “Ukombozi wa Konstantinopoli Bishara Njema Ikatimia…inafuatiwa na Bishara Njema Nyingine!”

Mji huo ambao uliingia katika kumbukumbu siku ulipofunguliwa alfajiri mnamo 12 Jumada al-Awwal 857 H, ukurasa unaovutia katika historia ya Ummah wa Kiislamu. Ukurasa ambao umekuwa kumbukumbu inayostahiki kutathminiwa kila Ummah unapokabiliwa na matatizo makubwa.

Soma zaidi...

Facebook Kufunga Kidhuluma Ukurasa wa Kitengo cha Wanawake Katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Women & Shariah, Kunalenga Kunyamazisha Sauti za Wanawake Waislamu Wanaolingania Uislamu

Mnamo Ijumaa 29 Novemba, Facebook ilifunga kidhuluma ukurasa rasmi wa Kiingereza wa Kitengo cha Wanawake Katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Women & Shariah, pasina na maelezo yoyote kuhusiana na hatua yao hiyo. Akaunti ilikuwa na wanaoipenda na wanaoifuata zaidi ya 40,000 huku baadhi ya post zake zikipata kufikia zaidi ya watu nusu milioni.

Soma zaidi...

Kusitishwa kwa Muda kwa Tovuti za Hizb ut Tahrir Hivi Majuzi

Licha ya majaribio na njama zote zinazo fanywa na maadui wa Waislamu ili kuiondosha fikra ya Khilafah kutoka kwa akili za watu, fikra imekuwa ndio rai amma kwa Ummah wote Waislamu. Na bado "ulinganizi wa kusimamisha Khilafah" unaendelea kuzitia wasiwasi serikali za Kimagharibi na taasisi zake za kisiasa na kifikra na wanafanya kazi kwa bidii kwa kutumia njia zote ili kuzuia rai amma kutofikia ulinganizi huu wa baraka (Da'wah).

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu