Jumatatu, 15 Dhu al-Qi'dah 1441 | 2020/07/06
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kimezindua Kampeni ya Kiulimwengu: “Beijing+25: Je, Barakoa ya Usawa wa Kijinsia Imeanguka?”

Mwaka 2020 unaadhimisha miaka 25 ya Azimio la Beijing na Mpango wa Utendaji (BPfA), ni waraka mpana ambao ulikuwa ni matokeo ya Kongamano la Kiulimwengu la nne la UN kuhusiana na Wanawake lililofanyika mnamo Septemba 1995, huko Beijing, Uchina.

Soma zaidi...

Chini ya Kisingizio cha Hali za Kibinadamu Upatanishi Unafanyika huko nchini Syria na Muuaji wa Watoto na Wanawake

Zaidi ya raia 20 waliuawa Jumanne iliyopita katika mashambulizi yaliyotekelezwa na vikosi vya kijeshi vya Syria kwa kuwalenga raia ikijumuisha shule. Shirika la Ufuatilizi wa Haki za Kibinadamu liliripoti kwamba takribani watoto tisa na walimu watatu waliuawa katika kuzidi kwa mashambulizi katika mkoa wa Idlib kaskazinimagharibi mwa nchi.

Soma zaidi...

Facebook Kufunga Kidhuluma Ukurasa wa Kitengo cha Wanawake Katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Women & Shariah, Kunalenga Kunyamazisha Sauti za Wanawake Waislamu Wanaolingania Uislamu

Mnamo Ijumaa 29 Novemba, Facebook ilifunga kidhuluma ukurasa rasmi wa Kiingereza wa Kitengo cha Wanawake Katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Women & Shariah, pasina na maelezo yoyote kuhusiana na hatua yao hiyo. Akaunti ilikuwa na wanaoipenda na wanaoifuata zaidi ya 40,000 huku baadhi ya post zake zikipata kufikia zaidi ya watu nusu milioni.

Soma zaidi...

Ni Serikali ya Uturuki ndiyo Inayoandaa Msingi wa Mashambulizi ya Kiubaguzi wa Rangi dhidi ya Wanawake na Watoto

Jioni ya 5 Oktoba 2019 mwanamume anayeitwa Nadir Kızılbulut alimpiga kinyama mtoto wa miaka 5 Msyria kwa msukumo wa kiubaguzi wa rangi. Pia aliwashambulia mama wa mtoto huyo na dadake wa miaka 15 kimwili na maneno na kumpiga baba yao usoni na kushambulia nyumba yao na kuvunja madirisha.

Soma zaidi...

Damu ya Wanawake na Watoto wa Afghanistan ni Duni kwa Marekani na Utawala Kibaraka wa Afghan

Usiku wa Jumapili, 22 Septemba, mashambulizi ya angani na ardhini yalitekelezwa na majeshi ya Afghan na Marekani yakilenga kile kilichoelezewa kuwa ni maficho ya Taliban katika wilaya ya Musa Qala katika mkoa wa Helmand, yakaua raia 40 na kuwajeruhi taribani watu 18 wengine ambao walikuwa wanahudhuria sherehe ya harusi katika jengo mkabala. Kwa mujibu wa Abdul Majid Akhundzada, mwanachama wa baraza la mkoa wa Helmand, wengi wa waliouliwa walikuwa wanawake na watoto. 

Soma zaidi...

Ulazimishaji wa Wanawake wa Uyghur Kutobeba Mimba katika Kambi za Uchina: Mkono Mwengine wa Utawala huo Katika Kampeni Yake ya Mauaji dhidi ya Waislamu wa Turkistan Mashariki

Katika wiki za hivi karibuni, vyombo vikuu vya habari kama vile Gazeti la The Independent la UK vimechapishwa ripoti kutoka kwa wanawake wa Uyghur ambao walikuwa wametiwa korokoroni ndani ya kambi za mjumuiko ndani ya Turkistan Mashariki, kuhusu wanawake Waislamu wa Uyghur kwamba wamelazimishwa kutobeba mimba wakati walipokuwa kizuizini.

Soma zaidi...

Sera za India ndani ya Kashmir Zinalenga Kuwateka Nyara Watoto Waislamu

Mnamo 15 Agosti 2019, gazeti la UK, The Telegraph liliripoti kuhusu utekaji nyara unaotamausha wa watoto wa Kashmir kufuatia jaribio la India kuliteka eneo ililolivamia la Kashmir. Timu ya Wanachama wa Mashirika ya Kijamii ikijumuisha Jean Dreze na Maimoona Mollah, yameweka orodha ya watoto ambao wanasema kuwa walitiwa korokoroni na kupigwa na Vyombo vya Usalama vya India wakati wa uvamizi wa kigaidi unaoendelea wa Kashmir juu ya Waislamu katika eneo hilo.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu