Jumatano, 15 Sha'aban 1441 | 2020/04/08
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Amerika inaweza kuwa na kesi milioni 1 za Covid-19 ndani ya wiki 2!

Amerika inakabiliwa na janga na imeipiku Ujerumani na Ufaransa ndani ya siku mbili zilizopita kwa kesi za Covid-19, na licha ya Italia kuwa na idadi maradufu ya kesi kama Amerika, mjumuiko wa idadi ya kesi inazidi mara mbili ndani ya kila siku 4 nchini Italia, ilhali inazidi mara mbili ndani ya kila siku nchini Amerika.

Soma zaidi...

Khilafah: Utajiri Wenye Uwezo

Katika mwezi wa Rajab 2020 Miladia, itakuwa ni kumbukumbu ya miaka 99 Hijria tokea kuangushwa kwa Khilafah. Baada ya kuonja matunda machungu wa Usoshalisti katika miaka ya 1950 na kisha njozi za uhuru katika kipindi cha miaka 1960 na 1970, hali ya Ummah kote ulimwenguni imebakia kuwa ni ile ile kama sio mbaya zaidi. Matokeo yake, matatizo yanayoukumba Ummah yameongezeka kuwa masuala mengi zaidi.

Soma zaidi...

Mafunzo Makubwa Kutoka kwa Abu Ayyub Al-Ansari kwa Waislamu Jumla na Hasa kwa Majeshi ya Waislamu Juu ya Kumbukumbu ya 99!

Katika kumbukumbu ya 99 ya kuvunjwa kwa Khilafah huko Istanbul, ni juu yetu kumkumbuka mmoja wa masahaba wakubwa wa Mtume (saw), Abu Ayyub Al-Ansari, alikuwa ni miongoni mwa watiaji hamasa wakubwa kwa jeshi la Sultan Fatih kuhakikisha kufikiwa bishara ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) katika kuiteka Konstantinopoli (ambayo baadaye ikawa Istanbul).

Soma zaidi...

Muda wa Khilafah Umewadia

Katika mwezi huu wa Rajab, 1441, itatimia miaka 99 tokea kuvunjwa kwa Khilafah kupitia ushirikiano wa wasaliti miongoni mwa Waarabu na Waturuki pamoja na maadui wakoloni. Katika Ulimwengu wote wa Waislamu, kukosekana kwa utekelezaji wa hukmu zote za Mwenyezi Mungu kunahisiwa, kunakotupelekea kukata tamaa.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu