KUH: OMBI LA KUTAKA MISIKITI IFUNGULIWE
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Huku janga jipya la virusi vya Korona likiendelea kutikisa nchi na ulimwengu kwa ujumla, serikali ilitoa amri ya kuifunga misikiti yote humu nchini, hatua iliopelekea kusitishwa ndani yake kwa swala za Jamaa na ile ya Ijumaa kwa kipindi cha takriban miezi miwili sasa...