Jumanne, 05 Safar 1442 | 2020/09/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Ardhi Iliyobarikiwa: Kalima Nzito Kutoka Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa "Wenye Kusawazisha Mahusiano ni Wasaliti, na Palestina Itakombolewa na Majeshi ya Khilafah"

Hizb ut-Tahrir katika Ardhi iliyobarikiwa (Palestina) iliandaa amali katika Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa, ambapo ilitoa hotuba kali yenye kushutumu makubaliano ya kusawazisha mahusiano ya Imarati na Bahrain pamoja na umbile vamizi la Kiyahudi

Soma zaidi...

Uislamu: Dawa ya Ubaguzi wa Rangi

Machafuko ya 2020 ya Maisha ya Weusi ni ya Kuzingatiwa (Black Lives Matter) hivi sasa yamefikia kwenye mwezi wake wa nne, yakiweka kivuli kirefu juu ya uchaguzi wa urais wa Amerika. Machafuko ya umma yaliripuka kutokana na kifo cha George Floyd mnamo tarehe 25 Mei 2020 na yamechochewa kwa miongo ya miaka ya ubaguzi wa kitaasisi.

Soma zaidi...

Nani Atakayesimama Dhidi ya Mauaji ya Halaiki ya Waislamu Eneo la Turkestan Mashariki?

Mnamo tarehe 27 Agosti, shirika la habari la ‘Buzzfeed News’ lilichapisha taarifa zilizotokana na uchunguzi ulioegemea maelfu ya picha za satelaiti katika eneo la ‘Xinjiang’ inayofichua “miundo mbinu mikubwa na inayoendelea ya uwekaji kizuizini na kushikiliwa kwa muda mrefu” kwa jamii za Uyghur, Kazakh na Waislamu wengine inayotekelezwa na utawala wa kidhalimu wa China.

Soma zaidi...

Leo Hii Imarati Na Bahrain Zinatia Saini ya Mkataba Pamoja na Dola ya Kiyahudi, Mkataba wa Uhaini Mkuu kwa Palestina Ambayo Ndipo Alipofikia Mtume (saw) Katika Safari Ya Isra Na Miiraj Yake

France 24 jana 14/9/2020 M ilichapisha: (Mashariki ya kati, Jumanne itaingia kwenye mkondo mpya, wakati ambapo dola ya Imarati na Ufalme wa Bahrain zitatia saini mkataba wa makubaliano pamoja na (Israel) huko Washington…

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu