Jumatatu, 23 Jumada al-thani 1441 | 2020/02/17
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mbinu ya Amerika na Kupunguza Kisiasa Wanajeshi ndani ya Afghanistan

Rais wa Afghanistan, Ashraf Ghani, amesema katika jukwaa la kiulimwengu la kiuchumi lililofanyoka Davos, kwamba serikali ya Afghan haitapata matatizo baada ya vikosi vya kigeni kujiondoa kutoka nchini humo; hata hivyo, kama mazungumzo yataendelea na Taliban badala ya serikali yake, vita vitachukua awamu nyingine.

Soma zaidi...

Uingereza – Jamhuri Mpya ya Fujo

Uingereza kwa muda mrefu imekuwa katika kilele cha kutawala kiasi kwamba jua halikuchwa na kileleni mwake taifa hili la kisiwa lilitawala zaidi ya asilimia 25 ya watu duniani. Lakini hilo lilikuwa zamani sana na hivi leo Uingereza imeshindwa na mataifa kama Pakistan, Bangladesh na Zimbabwe katika kuonekana kuwa ni mazuri. Kwa kuzingatia kuwa mnamo 2019, India itakuwa na Mapato ya Taifa (GDP) makubwa kuliko UK.

Soma zaidi...

Somalia Iliyomakinika Kisekula: Ndoto ya Marekani

Vyombo vya habari vimeripoti kushikwa kwa Mukhtar Robow "Abu Mansur" siku ya Alhamisi, 13 Disemba 2018 akiwa katika mkutano wa kawaida ulioitishwa na rais mshikilizi wa Jimbo la Kusini Magharibi ya Somalia mjini Baidoa. Alishikwa na maafisa wa Ethiopia na mara moja kuhamishwa kambi ya jeshi ya Ethiopia viungani mwa mji kabla kwenda naye Mogadishu.

Soma zaidi...

Amerika Yakazanisha Kitanzi Katika Shingo ya Somalia Kupitia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Benki ya Dunia (WB)

Somalia kwa takribani miongo mitatu ilikuwa haistahili kupata pesa kutoka kwa Muungano wa Maendeleo wa Kimataifa wa Benki ya Dunia (IDA) kwa sababu ilikuwa inadaiwa na Benki hiyo na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) zaidi ya dolari milioni 800 ambazo ni sehemu ya dolari bilioni 5.5 za deni ambalo kiwango kikubwa ni riba na faini inazodaiwa na mashirika ya kimataifa na wakopeshaji wa kibiashara katika miaka ya 1980. 

Soma zaidi...

Majeshi ya Waislamu Ndio Safu ya Mbele ya Ulinzi kwa Ummah

Kila taifa kubwa huwa na mipaka maalumu ambayo haipaswi kuvukwa. Kutokana na hili, mataifa makubwa, hususan mataifa ya kimfumo, huchunga nguvu yao ya kijeshi pamoja na mfumo wao. Mataifa makubwa huchukua hatua ambazo zitalinda, kupanua na kuhakisha mifumo yao inatawala na hutumia nguvu yao ya kijeshi kufikia hili.

Soma zaidi...

Bajeti ya Kenya ya Mwaka 2018/2019 Ni Kitanzi Kizito Shingoni mwa Raia Walokata Tamaa!

Mapendekezo ya ushuru yaliyowasilishwa kupitia Mswada wa Fedha wa 2018 yameandaliwa kuzalisha ongezeko la mapato ya ushuru la shilingi bilioni 27.5 la mwaka wa matumizi ya serikali wa 2018/2019. Bajeti ya mwaka 2018/2019 ina upungufu wa shilingi bilioni 558.9 (sawia na asilimia 5.7 za uzalishaji jumla wa nchi (GDP) utakaofadhiliwa na mikopo ya nje ya gharama ya shilingi bilioni 287.0 (sawia na asilimia 3.0 ya uzalishaji jumla wa nchi (GDP) huku mikopo mengine ya ndani ya nchi ikigharimu shilingi bilioni 271.9 (sawia na asilimia 2.8 ya uzalishaji jumla wa nchi (GDP).

Soma zaidi...

Mapinduzi ya Kijeshi Nchini Zimbabwe Ni Mbinu Tu ya Kikoloni ya Kufanyia Ukarabati Nidhamu Mbovu ya Demokrasia Iliyovunda

Mwanzoni ikitambulika kama ghala la chakula la Afrika, mnamo Jumatano iliyopita 15 Novemba 2017; Zimbabwe ilitiwa taharuki ya kisiasa baada ya viongozi wake wa kijeshi kuchukua mamlaka ya nchi hiyo kwa njia ya mapinduzi, wakieneza vifaru ndani ya jiji kuu la Harare na kumueka raisi Robert Mugabe mwenye umri wa miaka 93 chini ya kifungo cha nyumbani.

Soma zaidi...

Raisi Mpya wa Somali Ametangaza kuwa Nchi yake ni “Eneo la Vita”

Raisi mpya wa Somalia aliyechaguliwa hivi majuzi Mohamed Abdullah “Farmajo” ametangaza kuwa Somalia kuwa ni Eneo la Vita. Tangazo hilo alilolitoa Alhamisi 5 Aprili, 2017 linakuja muda mfupi baada ya hali ya usalama kuzidi kudorora ambapo hivi majuzi bomu liliripotiwa mji mkuu wa Mogadishu na kuua watu saba.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu