- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:
Matembezi “Enyi Jeshi la Fahari la Tunisia, Utawala Unawakuwekeni kwenye Mikono ya Adui Yenu na Muuaji wa Watu Wetu huko Gaza!”
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia iliandaa matembezi yenye kichwa “Enyi Jeshi la Fahari la Tunisia, Utawala Unawakuwekeni kwenye Mikono ya Adui Yenu na Muuaji wa Watu Wetu huko Gaza!” baada ya swala ya Ijumaa kutoka Msikiti wa Al-Fatah katika mji mkuu, ambayo yalipangwa kufika Al-Barabara ya Al-Thawra kama ilivyo kila Ijumaa. Ni matembezi ya 33 mfululizo tangu vita vya mauaji ya halaiki vizuke dhidi ya Waislamu katika Ukanda wa Gaza katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina).
Na hivyo, Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia inaendeleza kuinusuru kwake Gaza ambapo mpaka sasa imeandaa matembezi 33 tangu kuzinduliwa cheche ya Kimbunga cha Al-Aqsa, na ina nia ya kuuamsha Umma na majeshi yake hadi wasimamishe dola la Uislamu aliyowafaradhishia juu yao Mwenyezi Mungu, hivyo wawaokoe wanadamu wote kutokana na dhulma na jinai za Mayahudi na Magharibi Makruseda wa kuchukiza.
Mwakilishi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Tunisia
Ijumaa, 17 Shawwal Al-Khair 1445 H sawia na 26 Aprili 2024 M
- Sehemu ya Mikutano ya Amali ya Matembezi -
Kalima ya Ustadh Muhammad Ali bin Salem
Mjumbe wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Tunisia
Kuhusu Ujanja wa Al-Asad wa Kiafrika nchini Tunisia Unaoongozwa na Marekani
Kalima ya Ustadh Abdul Raouf Al-Aamiri
Mjumbe wa Afisi ya Kisiasa ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Tunisia
Kuhusu Ujanja wa Al-Asad wa Kiafrika nchini Tunisia Unaoongozwa na Marekani
- Alama Ishara za Amali -
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies
Kwa maelezo zaidi tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut tahrir / Wilayah Tunisia: